 Maandamano ya washiriki wa hafla ya Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP.

 Msanii
 Christian Bella akiwatumbuiza washiriki katika Maadhimisho ya Siku 16 
Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo 
yameandaliwa na TGNP Mtandao.

 Mgeni
 rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, 
Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. 
Mary Massay akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa eneo la kula 
kiapo kwa washiriki kupinga ukatili.

 Mgeni
 rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, 
Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. 
Mary Massay akizindua eneo la kula kiapo kwa washiriki kupinga ukatili.

 Mgeni
 rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, 
Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. 
Mary Massay akiweka saini kama ishara ya kukubali kupiga vita ukatili.

Mary Massay akizungumza.

 Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi akizungumza katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP.

 Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi akizungumza katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP.

 Maandamano ya washiriki wa hafla ya Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP.

 Maandamano ya washiriki wa hafla ya Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP.

 Mgeni
 rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, 
Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. 
Mary Massay na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi 
pamoja na meza kuu wakipokea maandamano ya washiriki hao kabla ya kuanza
 kwa Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP.

 Baadhi
 ya washiriki katika hafla ya Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa 
Kijinsia TGNP, wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa katika 
hafla hiyo.

 Moja
 ya vikundi vya sanaa vikuwaburudisha washiriki wa Maadhimisho ya Siku 
16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment