TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, December 5, 2014

WAHITINU 130 WA CHUO KIKUU CHA ARDHI (ARU), WATUNUKIWA TUZO KWA KUFANYA VIZURI KWENYE MASOMO

 Onesmo Charles ambaye ni mmoja wa wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika masomo katika Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), akijaribu kifaa cha kisasa cha kupimia ardhi, viwanja na ramani za nyumba alichozawadiwa Kampuni ya Hightech Systems (T) Limited katika hafla ya kuwakabidhi zawadi na tuzo wanafunzi hao bora  iliyofanyika katika chuo hicho leo ikiwa ni sehemu ya mahafali ya nane ya chuo hicho yatakayofikia kilele kesho kutwa Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es Salaam (ARU), Idrissa Mshoro (kulia) akimkabidhi mwanafunzi Onesmo Charles kifaa cha kisasa cha kupimia ardhi, viwanja na ramani za nyumba chenye thamani ya sh. mil. 35  baada ya kuwa mmoja wa wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika masomo. Hafla ya kuwakabidhi zawadi wanafunzi hao bora  iliyofanyika katika chuo hicho leo, ni sehemu ya mahafali ya nane ya chuo hicho yatakayofikia kilele kesho kutwa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Godfrey Ntaki wa Kampuni ya Hightech Systems (T) Limited.  iliyotoa zawadi hiyo.
 Onesmo akipongezwa na wanafunzi wenzake
 Onesmo akiwa katika picha ya pamoja na wenzake
 Cheti alichotunukiwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
 Ipyana Mwangoka akikabidhiwa zawadi ya cheti
 Jonathan Kansheba akitunukiwa cheti
 Joyce Kasenga akipatiwa tuzo ya cheti
 Mariam Maringe akipatiwa tuzo
 Rashid Ngenyi akipatiwa tuzo ya cheti
 Rebecca Milano alipatiwa tuzo tano
 Tadeus Rudaichi akipokea tuzo
 Asha Muhali alituzwa tuzo tano
Anthony Mwashilingi akizawadiwa
 Bibian Abel akizawadiwa
 Faraja Ally akizawadiwa cheti
 Ikukea tuzo ya chetipa Mwakisole akipo
 Sehemu ya wanafunzi waliotunukiwa tuzo
 Meza kuu
 Wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa chuo hicho pamoja na wafadhili

No comments:

Post a Comment