Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM 
Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa   mara alipowasili 
 leo katika Viwanja vya Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  Wilaya ya Micheweni 
leo kwa madhumuni ya  kuzungumza na   Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani 
katika mkutano  wa kuimarisha  Chama  cha Mapinduzi (CCM) .[Picha na 
Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Chama 
cha Mapinduzi alipofioka katika Viwanja vya  Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu 
 Wilaya ya Micheweni  leo kuzungumza na   Mabalozi na Wenyeviti wa 
Maskani katika mkutano  wa kuimarisha  Chama  cha Mapinduzi (CCM) 
.[Picha na Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akifuatana na Viongozi wa Chama 
cha Mapinduzi baada ya mapokezi alipofika  katika Viwanja vya  Skuli ya 
Kiislamu ya Kiuyu  Wilaya ya Micheweni kwa ajili ya kuzungumza na   
Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika mkutano  wa kuimarisha  Chama  
cha Mapinduzi (CCM)  leo .[Picha na Ikulu.] 
Baadhi 
 ya WanaCCM  wa Wilaya ya  Micheweni  Pemba wakimsikiliza    Rais wa 
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa 
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa  akizungumza na Mabalozi na
 Wenyeviti wa   Maskani  wa  Wilaya hiyo  leo katika ukumbi wa  Skuli ya
 Kiislamu ya Kiuyu  Micheweni  akiwa  katika ziara ya kuimarisha  Chama 
 cha Mapinduzi (CCM) .[Picha na Ikulu.] 
Wajumbe
 wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) Dkt.Mauwa Daftari 
(kulia)  na Khadija Hassan Aboud wakifuatilia kwa Makini taratibu za 
Mkutano wa na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani Wilaya ya Wete 
uliohutubiwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 
Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo katika 
ukumbi  wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  akiwa katika ziara ya kuimarisha 
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akizungumza na  Mabalozi
 na Wenyeviti wa Maskani katika Mkutano wa Kuimarisha Chama cha 
Mapinduzi CCM katika   Ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya   Kiuyu Wilaya ya 
Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuimarisha 
Chama.[Picha na Ikulu.] 
Mwenyekiti
 wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa   alipokuwa 
akimkaribisha  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai 
kuzungumza na machache katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa 
Maskani   ili nae akmaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza 
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
 kuhutubia Mkutano huo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  
akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi  Mkoa wa Kaskazini 
Pemba leo .[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiteta jambo na  Naibu  Katibu 
Mkuu wa  CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai  wakati wa Mkutano wa Mabalozi na 
Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Micheweni  katika ukumbi wa Skuli 
ya Kiislamu ya Kiuyu  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha 
Mapinduzi  Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment