Naibu
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, 
Salum Mwalimu akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kisumba, Jimbo la 
Kalambo, mkoani Rukwa, katika mfululizo wa mikutano ya ziara ya 
Operesheni Delete CCM katika vijiji vya mkoa huo.
Naibu akikumbatiana na mzee ambaye
 alikuwa mmoja wa wasikilizaji kwenye mkutano wa Operesheni Delete CCM 
uliofanyika katika Kijiji cha Samazi, mkoani Rukwa. Mzee huyo ambaye 
alitokwa na machozi wakati akisikiliza hotuba, alisema kuwa aliguswa 
sana na maneno ya Mwalimu. 

Naibu Katibu Mkuu akiagana na wananchi wa kijiji cha Kisumba baada ya mkutano huo wa hadhara kijijini hapo.
Naibu Katibu mkuu na msafara wake 
wakishiriki chakula walichoandaliwa na wenyeji wao katika Kijiji cha 
Samazi Jimbo la Kalambo, baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika 
kijijini hapo ikiwa ni mwendelezo wa mikutano mfululizo wa Operesheni 
Delete CCM mkoani Rukwa



No comments:
Post a Comment