Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar  Jorge 
Augusto  Menezes alipofika Kujitambulisha  leo Ikulu  Mjini 
Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar  Jorge Augusto 
 Menezes alipofika Kujitambulisha  leo Ikulu  Mjini Zanzibar.[Picha na 
Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akiagana   na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar  Jorge Augusto  
Menezes baada ya mazungumzo yao leo alipofika Kujitambulisha   Ikulu  
Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]   
No comments:
Post a Comment