TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, December 29, 2014

BREAKING NEWS:MCHANA HUU BASI LA ZUBERI NA COSTA USO KWA USO AMBAPO KATIKA COSTA HAKUNA ALIYEPONA

Bus la Zuberi No. 3 Limegongana uso kwa uso na costa. Hakuna aliyetoka kwenye costa na imekwisha  nyang'anyang'a. Hali hii imepelekea waliokua kwenye magari mengine kushuka na  kuokoa majeruhi. Ni Mbele kidogo ya singida mjini.
 
 Yaani costa imeisha na imeanguka miguu juu. Bado kuna abiria wapo chini ya hiyo costa. Ni ajari mbaya sana aisee.

No comments:

Post a Comment