Wasamalia
 wema wakifanya utaratibu wa kumuokoa Dereva wa Gari aina ya Isuzu 
Trooper iliyopiga mweleka katika makutano ya Shule ya Msingi 
Oysterbay,mara baada ya kugongana na gari nyingine aina ya Toyota Vitz 
iliyokuwa ikitokea upande wa Coco Beach jijini Dar mchana wa leo na 
kupekea dereva wa Gari hii (alikuwa ni Mama mtu mzima ambaye jina lake 
halikuweza kupatikana mara moja) kuumia sehemu ya kiuno na mkono.
Gari hii ilikuwa inatokea upande wa St. Peter's kuelekea Morogoro Store na Vitz ilikuwa ikitokea upande wa bahari na kuvuka ghafla barabara hiyo.
Gari hii ilikuwa inatokea upande wa St. Peter's kuelekea Morogoro Store na Vitz ilikuwa ikitokea upande wa bahari na kuvuka ghafla barabara hiyo.
 
No comments:
Post a Comment