Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amemteua Joseph Chirchir Boinet kuwa inspekta jenerali mpya wa polisi.
Boinet
 anachukua mahala pake David Kimaiyo ambaye alistaafu kutokana na mauaji
 ya wafanyikazi 36 waliokuwa wakifanya kazi katika timbo moja huko 
Mandera kazkazini mashariki mwa Kenya.
Boinet amekuwa katika idara ya upelelezi tangu mwaka 1998.

No comments:
Post a Comment