BI
 FORTUNATA RAYMOND (MENEJA NHIF LINDI) ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAO 
MPENDWA MZEE RAYMOND KULLAYA KILICHOTOKEA TAREHE 21/12/2014 HOSPITALI YA
 DR. MVUNGI KINONDONI DAR ES SALAAM,MAZISHI YATAFANYIKA TAREHE 
30/12/2014 KIJIJI CHA CHEKERENI-MOSHI.
IBADA YA KUMUOMBEA 
MAREHEMU NA SHUGHULI ZA KUAGA KABLA YA SAFARI YA KUELEKEA MOSHI KWA 
MAZISHI ITAFANYIKA KATIKA KANISA KATOLIKI HANANASIFU KINONDONI SAA 6:00 
TAREHE 29/12/2014.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO
        ***BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE***
No comments:
Post a Comment