Mkewa
 Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa 
Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilayaya Mlele Mkoani Katavi 
kwenye shule ya Sekondari ya Mamba Desemba 28, 2014. (Pichana Ofisiya 
Waziri Mkuu)
Wajumbe
 wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele mkoani 
Katavi vwakimsikiliza Mgeni rasmi Mama Tunu Pinda wakati alipofungua 
mkutano wao katika Shule ya Sekondari ya Mamba Desemba 28, 2014. 
(PichanaOfisiyaWaziriMkuu)
Mkewa
 Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa 
Baraza la Umoja waWanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele mkoani Katavi 
wakati alipowasili kwenye shule ya Sekondari ya Mamba  kufungua Mkutano 
wa Baraza hilo Desemba 28, 2014. (PichanaOfisiyaWaziriMkuu)


No comments:
Post a Comment