BENKI YA ZANZIBA WAKABIDHI MABASI YA ABIRIA.
Mkurugenzi
 Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Amour Mohamed akikata 
utepe kama ishara ya kukabidhi mabasi matatu kwa Meneja wa Mamlaka ya 
Viwanja vya Ndege Zanzibar Bi Zaina Ibrahim Mwalukuta (kushoto)  
yaliyotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya kuchukulia abiria katika Kiwanja
 cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume yenye thamnai ya 
shilingi za Kitanzania Mia Tatu na Ishirini Millioni,(kulia) Mkurugenzi 
Masoko wa PBZ Seif Suleiman,[Na Mpiga Picha Maalum) 
 Miongoni mwa Mabasi yaliyotolewa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) 
likiwa tayari limeanza  kazi ya kubeba abiria wanaokwenda kupanda ndege 
katika Kiwanja cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume Kama ilnavyoonekana 
Pichani,[Na Mpiga Picha Maalum.] 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment