
Wakati wewe unakesha mitandaoni kuwaporomoti watiania wa urais wasiokuwa
 na sifa kwa sababu ya njaa zako.wenzako wenye umri kama wako wametembea
 kwa mguu kutoka Geita Mwanza hadi Dar es salam ikulu kwa ajili ya 
kuonana na rais juu ya matatizo yanayoikumba taifa na wananchi kiujumla.
Vijana hao wanachama wa chadema wameshaingia jiji la Dar es salam wakiwa
 wamevalia nguo za magunia kuashilia majonzi kwa taifa.vijana hawa 
wamebeba ujumbe wa
1.Ufisadi unavyoligharimu taifa
2.Ukiukaji wa haki za binadamu
3.Matumizi mabaya ya madaraka kwenye ofisi za umma
2.Ukiukaji wa haki za binadamu
3.Matumizi mabaya ya madaraka kwenye ofisi za umma
police wametanda sehem mbalimbali za ikulu na barabara zote zinazoingia 
ikulu,,hakika vijana hawa wamejitolea kufikisha ujumbe kwa rais ili 
kunusuru taifa.sasa nyie endeleeni kukesha kwenye mitandao mkibagua watu
 kwa makabila yao na dini zao,mkiwapiga majungu viongozi wa chadema 
wakati waliokufanya uwe maskini na mnoko wa kujipendekeza ni ccm na sio 
chadema wala Mbowe ama Dr.Slaa unaowaongelea kila kukicha.
Big up Vijana wenye uchungu na taifa letu,vijana mnaojitambua mliopo Dar
 mnapaswa kujitokeza kwa wingi kuwapa support makamanda hawa,,

No comments:
Post a Comment