Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomba  dua  pamoja na Mashekhe  waBagamoyo na wananchi wakati wa hafla ya kumuombea dua katika mkesha
wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani (PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa  Mashekhe 
wa Bagamoyo na wananchi  kwa kumuandalia  hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge  wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani. 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya wamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono katika hafla ya  kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze,
No comments:
Post a Comment