
Kikosi
 cha Timu ya Mara (jezi Nyekundu) wakisalimiana na Marefa wa mchezo huo 
tayari kwa Mtanange wa Women Taifa Cup kuzinduliwa leo jijini Mwanza kwa
 Kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara.

Rais
 wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, Mh Jamal Malinzi 
akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mara kabla ya Mechi ya Uzinduzi wa 
mashindano ya Mpira wa Miguu kwa wanawake yajulikanayo kama Women Taifa 
Cup kuanza katika dimba la CCM kirumba leo Jijini Mwanza

Baadhi
 ya Viongozi wa Mpira wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Viongozi wa TFF na 
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ndio wadhamini 
wakuu wa Mashindano hayo Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya Mechi ya 
uzinduzi wa Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Wanawake yajulikanayo kama 
Women Taifa Cup kuanza katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo.

 Kikosi Cha Timu ya Mwanza kikiwa tayari kukabiliana na Timu ya Musoma

 Kikosi cha timu ya Mara 
Mtanange ukiendelea


Gari
 ya Kurushia Matangazo ya Kampuni ya Azam likiwa tayari kwa kurekodi 
mchezo wa Uzinduzi wa Mashindano ya Women Taifa Cup yaliyozinduliwa leo 
katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kwa kuzikutanisha timu za 
Mara na Mwanza.

 Baadhi
 ya mashabiki wakifuatilia mtanange wa Mechi ya uzinduzi kati ya Mara na
 Mwanza katika mashindano ya Women Taifa Cup yaliyoanza leo katika 
Uwanja wa CCM Kirumba 

 Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mwanza wakipeana mawazo mara baada ya mapumziko

Kamera
 man kutoka kampuni ya Azam TV akiendelea na zoezi ka kurekodi mechi ya 
Uzinduzi kati ya timu ya Mwanza na Mara katika uwanja wa CCM Kirumba 
jijini Mwanza leo. Azam Tv ni moja ya Wadhamini wa Mashindano hayo ya 
Women Taifa Cup yaliyoanza kutimua vumbi leo katika uwanja wa Ccm 
Kirumba jijini Mwanza

Mkurugenzi wa Makampuni ya Proin Bw Johnson Lukaza ambao
 ndio wadhamini wakuu wa Mashindano ya Women Taifa Cup yaliyoanza leo 
katika uwanja wa CCM Kirumba kwa kuzikutanisha timu za Mara Queens na 
Mwanza Queens akiongea na Waandishi wa habari za Michezo mara baada ya 
mechi ya uzinduzi wa Mashindano hayo ya Women Taifa Cup Kumalizika kwa 
Mwanza Queen Kuichapa Mara Queens Magoli 6 kwa 1
No comments:
Post a Comment