Mtunzi
 mkongwe wa vitabu Zanzibar Bi. Fatma Mohammed Salim (Jinja) akionyesha 
vitabu vya hadithi za kale alivyovitunga, katika sherehe za uzinduzi wa 
vitabu hivyo zilizofanyika nyumbani kwake Chukwani Zanzibar.Picha na 
Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. 
Mwandishi
 wa Habari wa Redio Annur Fm Kasim Khamis akimuuliza suali Bi. Fatma 
Jinja kuhusiana na utunzi wa vitabu vyake alivyo vizindua. 
Baadhi
 ya waalikwa waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo 
wakimskiliza Bi. Fatma Jinja (hayupo pichani) alipokuwa akitoa maelezo 
juu ya utunzi wa vitabu hivyo .  
Waandishi
 wa Habari wakifanya mahojiano na mtunzi wa vitabu Bi. Fatma Jinja huko 
nyumbani kwake Chukwani Zanzibar baada ya uzinduzi wa vitabu vyake. 
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment