Timu zikiingia uwanjani tayari kwa mchezo 
Wachezaji wakisalimiana 
:Kikosi cha Yanga 
Kikosi cha Simba kabla ya mchezo 
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akisalimiana na wachezaji wa Yanga 
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akisalimiana na wachezaji wa Simba 
Mkurugenzi
 Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza na vyombo vya habari kabla ya 
mchezo kuanza, kushoto ni Godfrey Ngonyani Mkurugenzi wa ukaguzi wa 
ndani
Wachezaji wakisalimiana 
:Kikosi cha Yanga 
Kikosi cha Simba kabla ya mchezo 
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akisalimiana na wachezaji wa Yanga 
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akisalimiana na wachezaji wa Simba 
Mkurugenzi
 Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza na vyombo vya habari kabla ya 
mchezo kuanza, kushoto ni Godfrey Ngonyani Mkurugenzi wa ukaguzi wa 
ndani
Mchezaji wa Simba akijiunga na PSPF
………………………………………………………………………….
TIMU ya Yanga veterani imeibuka 
mshindi wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba veterani ulioandaliwa na 
PSPF, Yanga iliibuka na ushindi wa bao 4-3 na kubeba kombe. Mchezo huo 
ulifanyika tarehe 1 Januari 2015 katika uwanja wa chuo cha Bandari, 
Tandika jijini Dar es Salaam. 
Hadi dakika tisini zinakamilika timu hizo zilitoka sare ya bao 
moja kwa moja, mabao hayo yaifungwa na Omari kapilima kwa upande wa 
Yanga na Barnabas Sekolo kwa upande wa Simba.
Bingwa wa mchezo huo alipatikana kwa njia ya matuta, ambapo kwa 
upande wa Yanga walipata penalty ni Empram makoye, Ngada Shaganga, 
Ismail Issa na Deo Lucas. Yanga ilikuwa ikifundishwa na Peter Tino 
Kasongo Athumani kwa
Kwa upande wa simu waliozamisha penati ni Athumani Chama, 
madaraka Selemani na Issa Manofu. Simba ilikuwa chini ya Kasongo 
Athumani. 
Lengo la mchezo lilikuwa kutoa burudani kwa wakazi wa Jiji la 
Dar es Salaam na maeneo ya karibu hususani katika kipindi hiki cha 
sikukuu za mwisho wa mwaka. PSPF itatumia fursa hiyo kutangaza huduma 
zake mpya ambazo Mkopo wa Elimu na Mkopo wa Kuanza Maisha.


Mabingwa wakipewa kombe lao
No comments:
Post a Comment