Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akizungumza na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Alexander Rannkikh,
 wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 
30, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi 
nchini. Picha na OMR
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akiagana na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Alexander Rannkikh, 
baada ya mazungumzo yao alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es 
Salaam, leo Desemba 30, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda
 wake wa kazi nchini. Picha na OMR 
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mhe. Jack Zoka, wakati 
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014
 kwa ajili ya kumuaga akienda kuanza kazi rasmi nchini Canada. Picha na 
OMR

-Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mhe. 
Jack Zoka, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa 
Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014 alipofika 
kumuaga akienda kuanza kazi rasmi nchini Canada. Picha na OMR 
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mhe. Jack Zoka, baada ya 
kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini 
Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014 kwa ajili ya kumuaga akienda kuanza 
kazi rasmi nchini Canada. Picha na OMR
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, 
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 
30, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi 
nchini. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib 
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Algeria nchini 
Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, baada ya kumaliza mazungumzo yao 
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba
 30, 2014 alipofika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. 
Picha na OMR

No comments:
Post a Comment