Wanakwaya
 wa kwaya ya Makuhani ya Kanisala la EAGT Makanyagio, Mpanda  wakiimba 
katika uzinduzi wa Album yao ya Tuiombee Afrika uliofanywa na mke wa 
Waziri Mkuu, Mama Tunu  Pinda kwenye ukumbi wa  Shule ya Saint Mary’s ya
 Mpanda Desemba 31, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke 
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na  
wanakwaya wa kwaya ya Makuhani  ya Makanyagio, Mpanda wakati alipozindua
 Album yao  ya Tuiombee Afrika kwenye  ukumbi wa Shule ya Sekondari ya 
Saint Mary’s Desemba 31, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke 
wa Waziri Mkuu, Mama  Tunu Pinda  akionyesha DVD ya  Tuiombee Afrika  ya
 kwaya ya Makuhani ya Kanisa la EAGT la Makanyagio, Mpanda wakati 
alipozindua Album hiyo kwenye ukumbi wa Saint Mary’s mjini Mpanda 
Desemba 31, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika  picha ya pamoja na wanafunzi 
 wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembeklea na kuzungumza na
 walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015. (Picha na ofisi ya 
Waziri Mkuu



No comments:
Post a Comment