Waziri
 wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mwakyembe, akisisitiza jambo alipokutana na 
wafanyabishara wanaotumia bandari ya Dar es Salaam (hawapo pichani), 
katika ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),jana
Meneja
 wa Bandari ya Dar es Salaam, Award Massawe, akisistiza jambo, wakati 
Waziri wa Uchukuzi, alipokutana na Wafanyabishara wanaotumia bandari ya Dar es Salaam jana asubuhi katika ofisi za Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam..
 
Makamu
 wa Rais wa Chama cha Mawakala wa Forodha (TAFFA), Edward John Urio, 
akisisitiza jambo wakati wa Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mwakyembe, 
alipokutana na wafanyabishara wanaotumia Bandari ya Dar es Salaam, 
katika ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA), jana 
asubuhi.
(Picha na Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi)
No comments:
Post a Comment