HUYU NDIYE RAIS WA TANZANIA 2015.

 
:  Urais
 Sio Cheo, Urais ni Utumwa, Urais ni Msalaba Mzito, Rais anatakiwa kuwa 
Mtumishi wa Watu kwa sababu anabeba Masalaba wa Watu Wote, Rais ni Baba 
wa Watu Wote, anayetakiwa kuwajali Watoto Wake Wote, asiyekubali Kula 
Wakati Kuna Watu Miongoni mwa Watoto Wake Wakilala na Kushinda Kwa NJAA,
 IKULU NI MZIGO MZITO, watanzania Tayari Wenyewe Wameona na Kuyashuhudia
 Maneno ya BABA wa TAIFA, na kila Uzito na Ujazo Wake, Kipimo cha Uzito 
wa IKULU, ni Tofauti na Kipimo cha uzito wa nafasi Yoyote Kwa Uzani, 
Kimawazo, Kiutendaji, na Uwajibikaji wa KILA mmoja Umeonekana, 
Watanzania Siyo Karungu Yeye Kwamba Wao Vichwa kisha Watanzania ni 
Magamba wanaingia na Kutoka, Nikichungulia tu niko nje na nikichungulia 
tu niko ndani, KIRAIS RAISI, IKULU siyo mahala pa  Kukimbilia ila SERA 
ndo zinampeleka mtu IKULU, Wananchi wakishamkkubali, kwa SERA zake, 
katika yale anayowambia wananchi kisha akayatakeleza na wananchi Watampa
 URAIS, URAIS aununuliwi kama Karanga, Kwamba izi ni njugu Tutauziana 
kwa Mafungu, URAIS  wowote unaonunuliwa siku zote ikumbukwe ipo Siku 
Utakuja KUUZWA,  Tunapomchagua mtu kuwa Rais ni kwamba tunamwambia awe 
mtawala wetu, awe juu yetu kwa Mamlaka ya kila jambo, mwenye maamuzi ya 
Mwisho, mwenye kutenda juu ya HAKI na SHERIA, kwa Faida ya Wananchi 
anatakiwa kutenda na si VINGINEVYO.  IKULU SIYO PANGO LA WAFANYABIASHA, 
IKULU SIYO SEHEMU YA KWENDA KUPUMZIKA, IKULU SIYO SEHEMU YA MISIKITI, 
IKULU SIYO SEHEMU YA MAKANISA, IKULU SIYO SEHEMU YA MIGAO NA MIGAHAWA, 
IKULU SIYO SEHEMU YA WAHUNI, NA IKULU SIYO SEHEMU YA MATAMBIKO, IKULU NI
 MAHAPA PATAKATIFU. PA PATAKATIFU. RAIS ANATAKIWA KUWA MTAKATIFU ZAIDI 
YA SALA NA IBADA, Mpenda AMANI, mtetezi wa haki, Mpigania Maendeleo ya 
Watu Wake, Jemedari, Kamanda, Mwenye Nguvu Kimwili, Kiroho na Kimawazo, 
asiyeyumbishwa na jambo, Mwenye kutoa Maamuzi Sahihi, Rais atakiwi kuwa 
na Makundi, Rais atakiwi kuwa Mbaguzi, Rais atakiwi kuwa mwenye Uroho na
 Madaraka, Rais atakiwi kuwa mchochezi, Rais atakiwi kuwa Mwenye Tamaa 
na Uroho wa kujilimbikizia Mali, Rais atakiwi kuwa Mwenye Hasira na 
Mwenye Maamuzi ya Haraka, Rais atakiwi kusema Uwongo, na Rais atakiwi 
KUPANGIWA, Rais atakiwi kuwa na Ukabila,Rais atakiwi kuwa na Udini, Rais
 atakiwi kuwa Muhuni, Rais atakiwi kuwa Mlevi, Rais atakiwi kutoa RUSHWA,
 Rais atakiwi kupokea RUSHWA, Rais atakiwi Kulala Usiku na Mchana, 
atakiwi kujulikana Muda wa Kulala na Mtu yeyote Isipokuwa kwa MKE/MUME 
wake, Rais atakiwi kuwa mtu wa kusafiri safiri, atakiwi kuruhu au 
kushiriki Uovu, Rais atakiwi kuzoeleka, Rais atakiwi kuipenda Nafsi yake
 kuliko ya watu wake, NA URAIS hauna UMRI: 2015
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment