Mbunge
 wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akizindua Tawi la CCM la 
Wajasiriamali Bodaboda na Mama lishe lililopo Mgulu wa Ndege Kata Ya 
Mkundi Manispaa ya Morogoro.Mara Baada ya Kuzindua Tawi Hilo Mh Abood 
Aliongea na Wanachama wa Tawi Hilo Kisha Kuwaelekeza Kujiunga Kwenye 
Vikundi vya Wajasiriamali Yeye Atakuwa Tayari kuwawezesha Mitaji ya 
Kufanya Shuguli za Kujiletea Maendeleo.
 Mbunge
 wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Meza Kuu Sambamba na 
Katibu wa CCM Kata Ya Mkundi tayari Kusikiliza Kero zinazowakabili 
wakati wa Kata Hiyo Ambapo walimwambia Wanakabiliwa na Kero Kubwa ya 
Umeme,Maji na Barabara.Aidha Mh Abood Akitoa Majibu Kuhusu Kero Hizo 
Alesema Kuhusu Umeme Serikali Imeiweka Kata Hiyo Kwenye Bajeti ya 
Serikali ya Mwaka huu .Kuhusu
 Maji Mh Abood alitoa Shilingi Milioni 11 Kwajili ya Kununua Vifaa vya 
Kuwezesha Kufikisha Maji katika eneo la Mgulu wa Ndege Kata ya 
Mkundi.Pia Alitoa Shilingi Milion 2 kwajili ya Mafuta Ili Greda la 
Manispaa ya Morogoro Kuweza Kuchonga Barabarfa Zote za Kata Hiyo.
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Mgulu wa Ndege Kata ya Mkundi Jimbo la Morogoro Mjini Akisoma Risala yake Kwa Mbunge wa Jimbo Hilo 
Mh Aziz Abood.
Mmoja
 wa Wakazi   wa Kata ya Mkundi waliojitokeza Kwa Wingi Kwenye Ziara ya 
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Akieleza Kwa msisitizo Kero Kubwa 
Inayowakabili wakazi wa Kata Hiyo                   
  Mbunge
 wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood  Akiandika Baadhi ya Keo 
ambazo wananchi wa Kata ya Mkundi walimweleza wakati wa Ziara yake ya 
kutembelea Kata za Jimbo la Morogoro Mjini.
 Wakazi wa Kata ya Mkundi wakimsikiliza kwa Makini Mbunge wao
Wakazi wa Kata ya Mkundi wakimshangilia Mh Abood mara Baada ya Kutatua kero Kubw ya kata hiyo tatizo la Maji. 
  Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood  Akijibu Baadhi ya Kero zinazowakabili wakazi wa Kata ya Mkundi


No comments:
Post a Comment