Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu SheikhAli Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili Desemba 29, 2014

:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya
 Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili
 Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian  alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili
 Desemba 29, 2014
No comments:
Post a Comment