Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemia Kyando Mchechu akizungumza
kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kilichoandaliwa na wanachama waj Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) ukumbi
wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12,
2014. Shirika la Nyumba la Taifa lilitoa ahadi ya kuchangia kiasi cha
Shilingi milioni 10 pamoja na kujenga chumba kimoja cha darasa
kilichokamilika, kushoto kwake ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Chakula
hicho kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya
kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.

Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemia Kyando Mchechu na Mkewe
Mercy wakitoa ahadi ya mchango kwenye hafla ya chakula cha jioni
kilichoambatana na burdani mbalimbali kilichoandaliwa na wanachama waj Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014.

Baadhi ya wageni waalikwa waliokuwapo kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kilichoandaliwa na wanachama waj Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014.

Waziri
Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda akisikiliza ahadi ya mchango kutoka
meza ya Washiriki kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)wa hafla hiyo ya chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kilichoandaliwa na wanachama waj Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014 .
Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda akisikiliza ahadi ya mchango
kutoka meza ya Washiriki kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)wa hafla hiyo ya chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kilichoandaliwa na wanachama waj Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014 .

Mtoto aliyekuwa kivutio katika hafla hiyo ya chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kilichoandaliwa na wanachama waj Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014 .
Waziri
Mkuu Mizengo Peter Pinda akijadiliana jambo na na Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Nyumba la Taifa NHC, Nehemia Kyando Mchechu kwenye hafla hiyo ya chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kilichoandaliwa na wanachama waj Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014 .
No comments:
Post a Comment