Katibu
Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Bw. Ali Haji Vuai wa kwanza
(kulia) akizungumza na wandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa nane wa
Baraza hilo, utakaofanyika Disemba 16 Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. Wandishi
wa Habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Katibu Mtendaji Baraza la
Biashara Zanzibar Bw. Ali Haji Vuai ofisini kwake Kinazini Mjini
Zanzibar. Mwandishi
wa Habari wa Radio Coconat Fm Tabia Makame akiuliza swali kuhusu
Mkutano wa nane wa Baraza hilo katika Mkutano wa wandishi wa Habari
uliofanyika Ofisi ya Baraza la Biashara Zanzibar Kinazini Mjini
Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment