Wafanyakazi
wa kampuni ya ulinzi ya ulinzi ya Security Group (T) Ltd (SGA),
wakifanya usafi katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Mbezi Beach, Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki kudhimisha miaka 30 ya kampuni hiyo tangu
kuanza kufanya kazi zake hapa nchini. Wafanyakazi
wa kampuni ya ulinzi ya ulinzi ya Security Group (T) Ltd (SGA),
wakifanya usafi katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Mbezi Beach, Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki kudhimisha miaka 30 ya kampuni hiyo tangu
kuanza kufanya kazi zake hapa nchini. Mkurugenzi
Mkuu wa kampuni ya ulinzi ya Security Group (T) Ltd (SGA), Eric Sambu
akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo muda mfupi kabla ya kuanza
kuufanyia usafi ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la Mbezi Beach, Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki kuadhimisha miaka 30 ya utendaji kazi wa
kampuni hiyo nchini. Meneja
Mawasiliano wa kampuni ya ulinzi ya Securty Group (T) Ltd (SGA), Sofia
(kushoto) akitoa maelekezo kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa
zoezi la kufanya usafi katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la Mbezi
Beach, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni kuadhimisha miaka 30 ya
utendaji kazi wa kampuni hiyo hapa nchini. Mkurugenzi
Mkuu wa kampuni ya ulinzi ya Security Group (T) Limited (SGA), Eric
Sambu (kulia) akifurahi na wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kumaliza
kusafisha ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam
ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 30 ya utendaji kazi wa kampuni
hiyo nchini.
No comments:
Post a Comment