BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA ZAIDI YA TANI KUMI ZA DAWA NA VYAKULA
WAFANYAKAZI
 wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiwa katika matayarisho
 ya uangamizaji wa vyakula na dawa mbali mbali vilivyopitwa na wakati na
 vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya binaadamu zaidi ya tani 10, 
uangamizaji huo ulifanyika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati 
Unguja.(Picha na Haroub Hussein). 

 KIJIKO kikiangamiza dawa, vyakula na vipodozi mbali mbali vilivyopitwa 
na muda wake wa matumizi pamoja na vile visivyokua na viwango kwa 
matumizi ya binaadamu, Bodi ya Chakula , dawa na vipodozi Zanzibar 
(ZFDB)iliangamiza vitu hivyo zaidi ya tani 10 katika Kijiji cha Kibele 
Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Haroub Hussein). 
 
No comments:
Post a Comment