Mfanyabiashara
  Ally Hamidu Ally (kulia) ambaye hivi karibuni ametiwa mbaroni na Idara
 ya Uhamiaji kwa tuhuma za  kuwaingiza nchini kinyemela makomandoo wa 
Nepali akiwa chini ya ulinzi katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es 
Salaambaada ya kukamatwa eneo la Sinza. Kushoto ni mwanajeshi wa zamani 
wa Marekani ambaye pia anashikiliwa Uhamiaji
ALLY HAMIDU ALLY ambaye amekiri kufanya kazi hiyo ya kusafirisha binadamu akiwa Ofisi za Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment