PINDA AHITIMISHA ZIARA YA MPANDA
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na viongozi wa mkoa wa Katavi kwenye 
uwanja wa ndege wa Mpanda  baada ya ziara yake  ya jimbo la uchaguzi 
Januari 9, 2015. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda,  Pazi 
Mwamlima, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Mhandisi Emmanuel Kalobelo na
 Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Kanali Ngemera Lugunga. (Picha na Ofisi ya 
Waziri Mkuu) 
 
 Sungusungu wa tarafa ya Mamba wilayani Mlele wakicheza ngoma wakati  
Mbunge wao, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowasili kwenye  uwanja wa 
Shule ya Ufundi  ya Mamba kuhutubia Mkutano wa hadhara Januari 9, 2015. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Msoko
 wa rasta isiyokuwa ya kawaida  aliosuka Bwana huyo, baada ya kuwasili 
kwenye uwanja wa shule ya ufundi ya Mamba wilayani Mlele kuhutubia 
mkutano wa hadhara Januari 9, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu) 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wananchi wa jimbo lake. 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment