Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu 
Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi 
Lugalo jijini Dar es Salaaam jana.Brigedia Jenerali Hashim Mbita ni 
mwanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kuwa  mmoja wa viongozi waandamizi 
katika harakati za ukombozi Barani Afrika(picha na Freddy Maro) 
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu
 Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi 
Lugalo jijini Dar es Salaaam jana.Brigedia Jenerali Hashim Mbita ni 
mwanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kuwa  mmoja wa viongozi waandamizi 
katika harakati za ukombozi Barani Afrika(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment