Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa ZSSF Abdulwakil Haji Hafidh 
alipowasili kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo 
Mjini Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa kiwanja hicho leo ikiwa ni sehemu 
ya maadhimisho ya mikaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na 
Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 akikata utepe kufungua rasmi kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia 
Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho 
ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha 
na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 akifungua pazia  kufungua rasmi kiwanja cha ZSSF -Uhuru cha 
kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya 
maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya 
Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 akitia udongo wakati akipanda mti aina ya Muembe katika ufunguzi wa 
kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini 
Unguja leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51
 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango Uwekezaji na 
Utafiti ZSSF Khalifa Muumin Hilal wakati alipokua akiangalia michoro ya 
kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini 
Unguja baada ya kukifungua rasmi leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya 
sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (wa pili 
kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,[Picha na 
Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 (katikati)akifuatana na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif 
Hamadi (kulia) na Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee (kushoto) wakati 
alipotembelea kuangalia pembea katika kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha 
kufurahishia Watoto baada ya kukifungua leo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa 
ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya 
Zanzibar,[Picha na Ikulu.]   
Meneja
 Mipango Uwekezaji na Utafiti ZSSF Khalifa Muumin Hilal (kushoto) akitoa
 maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi 
Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) wakati alipotembelea kuangalia 
pembea katika kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto baada ya 
kukifungua leo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya 
miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Makamo wa Kwanza wa 
Rais Maalim Seif Sharif Hamadi na (wapili kushoto) Waziri wa Fedha Omar 
Yussuf Mzee,[Picha na Ikulu.]    
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango Uwekezaji 
na Utafiti ZSSF Khalifa Muumin Hilal (katikati) wakati alipotembelea 
pembea mbali mbali zilizomo katika kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha 
kufurahishia Watoto baada ya kukifungua leo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa 
ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 
wengine ni  Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee (kushoto) na Makamo wa 
Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi (wa tatu kushoto), [Picha na 
Ikulu.]    
Baadhi
 ya Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Kiwanja cha 
ZSSF -Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja 
wakimsikiliza  Rasmi akiwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza 
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake baada ya ufunguzi 
huo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi 
Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 akisalimiana Msoma Utenzi Amina Mohamed Waziri  wakati wa ufunguzi wa 
Kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja
 ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi 
Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 akitoa hutuba yake baada ya ufunguzi wa Kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha 
kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya sherehe
 za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) 
Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF 
Dkt.Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment