Mwanamuziki
 Diamond Platnumz akifurahia jambo na mwanamuziki Fally Ipupa kutoka 
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wakati walipokutana kwenye mazoezi 
kabla ya kupanda jukwaa moja kwenye hafla ya utoaji tuzo za mwanasoka 
bora Afrika 2014.zinazoandaliwa na Shirikisho la Vyama vya Mpira wa 
miguu barani Afrika CAF.
Diamond atatumbuiza katika tuzo 
hizo ambazo wachezaji 25 nyota barani Afrika wamechaguliwa kugombea tuzo
 hizo. Hafla hiyo itafanyika  leo Januari 8, 2015 jijini Lagosi Nigeria.
No comments:
Post a Comment