Waziri
  Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi wa Halmashauri ya Nsimbo 
wilayani Mlele baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo 
kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya jimbo lake la 
uchaguzi Januari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akipokea  silaha za jadi, upinde, mishale na usinga
 kutoka kwa  Machifu wa kabila la Wakonongo  katika mji wa Inyonga 
wilayani Mlele akiwa katika ziara ya jibo lake la uchaguzi Januari 7, 
2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanawake wa  Nsimbo wakati 
alipowasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia mkutano wa 
hadhar akiwa katika ziara ya jimbi lake la uchaguzi Januari7, 2015. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment