Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akisalimiana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui  
Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais 
.[Picha na Ikulu.] 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El 
Badaoui  Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo  .[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein akiagana na  Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El 
Badaoui  Mohamed baada ya mazungumzo yao leo  alipofika Ikulu Mjini 
Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akifuatana  na  Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui  
Mohamed baada ya mazungumzo yao leo  alipofika Ikulu Mjini 
Zanzibar,[Picha na Ikulu.]


No comments:
Post a Comment