Wachezaji wa timu ya Atletico 
Madrid wakishangilia dakika ya 58 kipindi cha pili baada ya Raul 
Garcia kushinda bao la kwanza dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa 
kwanza Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Mfalme ‘Copa del Rey’ Uwanja wa 
Vicente Calderon usiku wa kuamkia leo.
Beki wa Atletico Madrid (katikati) akipiga kichwa mpira.…
Wachezaji wa timu ya Atletico 
Madrid wakishangilia dakika ya 58 kipindi cha pili baada ya Raul 
Garcia kushinda bao la kwanza dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa 
kwanza Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Mfalme ‘Copa del Rey’ Uwanja wa 
Vicente Calderon usiku wa kuamkia leo.
Beki wa Atletico Madrid (katikati) akipiga kichwa mpira.
Cristiano Ronaldo akiwa nje kipindi cha kwanza.
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Fernando Torres (kulia) akifanya yake mechi yake ya kwanza kuichezea  Atletico Madrid.
Kocha wa timu ya Atletico Madrid akiongea jambo na wachezaji wake wakati wa mechi hiyo.
Jose Gimenez (mwenye namba 24) akishangilia baada ya kushinda bao la pili dakika ya 76.
Gareth Bale (kushoto) na  
Cristiano Ronaldo (kulia) wakiwa kati kati ya uwanja baada ya kufungwa 
bao la pili dakika ya 76 kipindi cha pili na Jose Gimenez.
TIMU ya Real Madrid imefungwa 
mabao 2-0 na wenyeji wao Atletico Madrid katika mchezo wa kwanza hatua 
ya 16 Bora ya Kombe la Mfalme  “Copa del Rey Uwanja wa Vicente Calderon 
usiku wa kuamkia leo.
Mshambuliaji Fernando Torres 
aliichezea kwa mara ya kwanza klabu yake ya zamani, Atletico baada ya 
kurejea wakati Cristiano Ronaldo alikuwa nje kwa maumivu ya goti. Atletico Madrid (4-4-2): Oblak; Gamez, Godin, Gimenez, Lucas;
 Mario, Gabi, Saul (Turan), Raul Garcia; Griezmann (Mandzukic), Torres 
(Koke).  Goal: Garcia 58′, Gimenez 76Subs: Moyá Rumbo, Tiago, Jiménez, Juanfran
Booked: Gamez, Godin, Garcia, Gabi, Griezmann, Mandzukic
Real Madrid (4-2-3-1): Navas; Arbeloa (Carvajal), Varane, 
Ramos, Marcelo; Kroos, Khedira; Bale, Isco, James (Ronaldo); Benzema 
(Jesé).Subs: Casillas, Coentrão, Nacho, Illarramendi 
Booked: Marcelo, Khedira, Ramos, Carvajal 
Ref: Carlos Clos Gómez
Att: 46,800





No comments:
Post a Comment