Mwenyekiti
 wa chama cha Wananchi CUF.  Prof, Ibrahim Lipumba   alipokuwa 
akiwashukuru wananchi wa Buguruni Dar es Salaam jana kwa  kupiga kura na
 kukipa ushindi  mkubwa na imani walio ionyesha kwa wagombea wa chama 
hicho kuwezesha kunyakuwa mita 5 na Chama cha Mapinduzi CCM kunyakuwa 
mta 1, nakuwaomba wananchi wazidi kuwa na imani na cha hicho.
 Mjumbe 
wa Chama cha Wananchi CUF.  na Kiongozi wa Sanaa Mshikamano cha Temeke 
Shamte Mpendaraha  alipokuwa akisoma risala kabla ya mgeni Rasmi kuongea
 Wanachana wa chama cha wananchi CUF  pamoja na wanachi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chama hicho Prof Ibrahim Lipumba
 Mwenyekiti
 wa Chama cha Wananchi CUF,Prof  Ibrahim Lipumba akiwahutubia maelfu ya 
wananchi  waliojitokeza  kumsikiliza alipokuwa akiwashukuru wananchi wa 
Buguruni kwa kukiwzesha chama hicho ushindi katika chaguzi za Serekali 
za Mita zilizofanyika hivi karibuni nakuzidi kuwaomba wananchi 
wajitokeze kujiandikisha katika Daftari la wapigakura.  
 Wanachama
 wa chama hicho wakiwa katika utulivu mkuwa wakimsikiliza Mwenyekiti wao
 Pro. Ibrahim Lipumba  alipokuwa akiwashukuru wananchi hao eneo la 
Buguruni Shell Dar es salaa jana.
 Mwanacha wa Chama hicho cha CUF, akiwa amevalia kofia ya chama hicho.
  
Wanachama wa chama hicho wakiwa katika utulivu mkuwa wakimsikiliza 
Mwenyekiti wao Pro. Ibrahim Lipumba  alipokuwa akiwashukuru wananchi hao
 eneo la Buguruni Shell Dar es salaa jana 
 Wanachama wakicheza ngoma baada ya kwisha kwa Mkutano
 Baadhi 
ya Wenyeviti wa Chama cha Wananchi CUF ,walio fanikiwa kuchaguliwa 
katika chaguzi za Serelali za Mita kupitia chama hicho . 
  
Wanachama wa chama hicho wakiwa katika utulivu mkubwa wakimsikiliza 
Mwenyekiti wao Pro. Ibrahim Lipumba  alipokuwa akiwashukuru wananchi hao
 eneo la Buguruni Shell Dar es salaa jana
( Watoto 
CUF),  ni watoto 200 wanao lelewa na Chama cha Wananchi  cuf  kwa 
kufundishwa maadili ua Uongozi na Miiko ya Uongozi na mambo ya Rushwa, 
ambao wanaoandaliwa hapo baadaye wawe Viongozi bora watakao kitumikia 
chama hicho na wazazi wanaombwa kupeleka watoto wakapate maadili. 
Prof. akiongea na wananchi pamoja na wanachama wa Chama hicho Buguruni Shell jijini Dar es Salaam jana
No comments:
Post a Comment