Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe Ali Siwa, Balozi waTanzania nchini Rwanda aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa January 9, 2015 kuaga rasmi kabla ya kwenda kuripoti kwenye kituo chake cha kazi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe Jacky Zoka, Balozi
wa Tanzania nchini Canada aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Ijumaa January 9, 2015 kuaga rasmi kabla ya kwenda kuripoti kwenye
kituo chake cha kazi

No comments:
Post a Comment