Mke
 wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa tafrija ya 
mwaka mpya aliyoiandaa huko Ikulu tarehe 10.1.2015 kwa ajili ya wenza wa
 mabalozi wa nchi za nje walioko hapa Tanzania. 

 Baadhi ya wageni waalikwa wakiongozwa na Mke wa Makamu wa Rais Mama 
Zakhia Bilal (wa kwanza kushoto)  wakisikiliza hotuba ya Mke wa Rais 
Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) wakati wa tarfija ya mwaka mpya 
aliyowaandalia wenza wa mabalozi wa nchi za nje waliopo hapa Tanzania 
tarehe 10.1.2015. 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Anna Mkapa wakati 
wa tafrija ya mwaka mpya aliyoiandaa huko ikulu tarehe 10.1.2015 kwa 
ajili ya wenza wa mabalozi wa nje hapa nchini. 
Mke
 wa Rais Mama Salma Kikwete akipongezwa kwa hotuba yake na Mama Celine 
Mpango, Mke wa Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hapa nchini. 
Mama Mpango ni kiongozi wa wenza wa mabalozi wa nje waliopo hapa 
Tanzania. 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijumuika na wenza wa mabalozi na wageni waalikwa kupiga picha ya kumbukumbu. 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na na baadhi ya wenza wa 
mabalozi wa nje waliopo hapa Tanzania wakati wa tafrija ya mwaka mpya 
aliyowaandalia huko Ikulu tarehe 10.1.2015. 
Mke
 wa Makamu wa Rais Mama Zakhia Bilal akijadiana jambo na Kiongozi wa 
wenza wa mabalozi waliopo hapa nchini Mama Celine Mpango wakati wa 
tafrija ya mwaka mpya. 
No comments:
Post a Comment