Balozi wa Sweden nchini 
Tanzania,Mh. Lennarth Hjelmaker akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga 
aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza,
 Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya 
Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma 
Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga 
aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, 
Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini
 Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi
 isiyo ya kiserikali ya Twaweza (aliemaliza muda wake), Rakesh Rajani 
(kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mbunge wa Jimbo la Kigoma 
Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe (katikati) pamoja na Mkaguzi wa Hesabu za 
Serikali (Mstaafu),Ludovick Utouh wakati wa hafla fupi iliyofanyika jana
 jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment