TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, January 10, 2015

RAIS KIKWETE AKABIDHI VITABU 201 KWA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza   Mkuu
wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange  alipokuwa akimjshukuru kwa
kutoa vitabu 2752 kwa Chuo cha Ulinzi na makataba zingine za  JWTZ
wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vitabu 201 kwa ajili ya Maktaba ya
Chuo cha Ulinzi (National Defence College – NDC)  iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es salaam Ijumaa January 9, 2015.
unnamed2L
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi baadhi ya
vitabu   na  Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange. Rais Kikwete
amekabidhi  vitabu hivyo 201 kwa ajili ya Maktaba ya Chuo cha Ulinzi
(National Defence College – NDC)  iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam Ijumaa January 9, 2015. Rais kikwete, ambaye ameshachangia
jumla ya vitabu 2752 katika  maktaba ya chuo hicho na chuo cha Monduli
katika vipindi tofati,  amesema elimu imo vitabuni, na ili kuelemika
yapaswa mtu asome vitabu, na kwamba taasisi ya elimu inakamilika ikiwa
na vitabu.
  unnamed3L 
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Mkuu wa Majeshi
Jenerali Davis Mwamunyange na maafisa waandamizi wa JWTZ wakiangalia
vitabu wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vitabu 201 kwa ajili ya
Maktaba ya Chuo cha Ulinzi (National Defence College – NDC)
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa January 9, 2015. unnamed4L Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na   Mkuu wa

Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na maafisa waandamizi wa JWTZ baada
ya  hafla fupi ya kukabidhi vitabu 201 kwa ajili ya Maktaba ya Chuo
cha Ulinzi (National Defence College – NDC)  iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es salaam leo Ijumaa January 9, 2015.

No comments:

Post a Comment