Waziri
 kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe 
Shamsi Vuai Nahodha akikata utepe ikiwa ni isharaya Ufunguzi wa Skuli ya
 Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za 
maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar. 
Waziri
 kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe 
Shamsi Vuai Nahodha akitembelea maeneo mbalimbali ya Skuli ya Sekondary 
ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua.Kushoto yake ni 
Mwalimu Mkuu wa Skuli hiyo Juma Vuai Mshamba. 
Waziri
 kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe 
Shamsi Vuai Nahodha wakwanza kulia akiangalia Madawati yaliomo katika 
moja ya madarasa ya Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja 
baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya 
mapinduzi ya Zanzibar.
-Naibu
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  Zahra Ali Hamad.akitoa hotuba ya 
makaribisho kwa Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo
 la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha katika ufunguzi wa Skuli ya 
Sekondary ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni 
shamra shamra za maadhimisho ya miaka  51ya mapinduzi ya Zanzibar. 
Waziri
 kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe 
Shamsi Vuai Nahodha akitoa hotuba katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondary 
ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra
 za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
-Waziri
 kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe 
Shamsi Vuai Nahodha akikunjuwa kitambaa ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa 
Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra
 za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.Nyuma yake ni Naibu 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Zahra Ali Hamad.
No comments:
Post a Comment