UZINDUZI WA SOKO LA SAMAKI NA MBOGA MBOGA TUMBE PEMBA
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi alipowasili katika Uwanja wa 
Ndege wa Karume Pemba akiwa kisiwani huko atazindua Soko la Samaki na 
mboga mboga ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi 
Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akisalimiana na Viongozi wa Chama na Serikali mara alipowasili katika 
Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba akiwa ziara ya kuzindua miradi mbali 
mbali ikiwemo  Soko la Samaki na mboga mboga Kijiji cha Tumbe Wilaya ya 
Micheweni Kaskazini Pemba ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akisalimiana na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed 
 alipowasili katika Uzinduzi wa  Soko la Samaki na mboga mboga katika 
Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba leo ikiwa ni katika shamra 
shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akisalimiana na Afisa Tawala Wilaya ya Micheweni Pemba Ahmed Khalid 
Abdalla   pamoja na Viongozi wengine  alipofika katika Kijiji cha Tumbe 
Wilaya ya Michweni kuzindua  Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji
 hicho leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi 

akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi 
Dk.Kassim Gharib Juma baada ya kulizindua Soko la Samaki na mboga mboga 
wakati alipotembelea sehemu za Soko hilo leo  ikiwa ni katika shamra 
shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa kwanza kushoto) 
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis na Mkurugenzi Idara ya Uvuvi 
Mussa Aboud Jumbe,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(katikati) akiangalia sehemu ya kufanyia minada katika Soko la Samaki na
 mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba
 leo baada ya kulizindua rasmi ,ikiwa ni shamra shamra za miaka 51 ya 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi katika Wizara 
ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe  alipofika kuangalia jenereta 
katika soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya 
Michweni Pemba baada ya kuzindua  Soko hilo leo  ikiwa ni katika shamra 
shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akikata utepe kuzindua Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha 
Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba leo lililojengwa na Serikali kupitia 
mkopo Benki ya Dunia  ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
Baadhi
 ya wananchi wa Kijiji cha cha Tumbe wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba
 wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Samaki na mboga mboga leo 
uzinduzi huo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la 
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51
 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 
Mkurugenzi
 wa Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe  
akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
 Dk.Ali Mohamed Shein leo baada ya kulizindua Soko la Samaki na mboga 
mboga Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba wakati alipotembelea 
sehemu mbali mbali za soko hilo katika shamra shamra za miaka 51 ya 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
 
No comments:
Post a Comment