TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, January 10, 2015

WAZIRI WA VIWANDA ATEMBELEA MACHIMBO YA CHUMA LIGANGA NA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA

Waziri wa Viwanda na Biashara akutana na wafanyabiashara wa Mkoani Njombe na kuzungumza nao fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa huo mara baada ya kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi.
 wafanyabiashara wa Mkoani Njombe
Mlima wa Liganga uliopo mkoani njombe wilaya ya Ludewa ambapo kampuni ya Tanzania China International Mineral Resources Ltd
 Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kiogoda (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania China International Mineral Resources Ltd, Erick Mwingira juu ya miradi hiyo ya makaa ya mawe, alipotembelea miradi ya Chuma cha
Liganga na Makaa ya mawe ya Mchuchuma. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Mligi Mkucha..
Picha ya pamoja ya Mh. Waziri wa Viwanda na Biashara pamoja na watafiti na Viongozi wa serikali.
Waziri wa Viwanda na Biashara katika mlima wa liganga

No comments:

Post a Comment