Naibu Waziri wa Fedha,Mwigulu 
Mchemba leo ameadhimisha miaka 40 tangu kuzaliwa kwake. Katika 
maadhimisho hayo Naibu waziri huyo ambaye pia ni Mbunge wa Iramba 
Magharibi ameitumia siku hiyo ya leo kwa kutembelea wagonjwa katika wodi
 ya Wazazi ya Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam, kuchangia damu 
pamoja na kuwatembelea na kuwapa zawadi yatima katika kituo cha 
CHAKUWAMA. 
 Mwigulu akiwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala.
 Mwigulu Mchemba akiangalia mmoja wa watoto waliozaliwa siku ya leo.
 Mwigulu Mchemba akitoa misaada ya vitu mbalimbali katika kituo cha yatima CHAKUWAMA.
Naibu Waziri Mwigulu Mchemba akichangia damu katika benki ya damu Salama.
Akipiga picha ya pamoja na watumishi 
wa Benki ya Damu Salama.  wananchi wa jimbo la Iramba Magharibu, Familia
 yake na watanzania wote kwa ujumlawanamtakia heri na fanaka katika 
maisha yake na Mungu amjalie Hekima na Busara. 








No comments:
Post a Comment