TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, January 8, 2015

Nigeria kuendelea kushirikiana na Tanzania katika sekta za Filamu na Vijana

unnamedNaibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, vijana , utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo wakati alipokutana na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Balozi Ole Njoolay kuhusu ushirikiano baina ya Tanzania na Nigeria katika sekta ya Filamu na Vijana
unnamed1Mheshimiwa Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Balozi Ole Njoolay (kushoto) akiwa ameshika zawadi ya kinyago aliyopewa na Mheshimiwa Naibu Katibu Mkuu Prof. Elisante Ole Gabriel Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ili kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Nigeria katika sekta ya Filamu na Vijana
unnamed3Mheshimiwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana ,Utamaduni na Michezo wa Mheshimiwa Prof. Elisante Ole Gabriel wa pili kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Mhe. Balozi Ole Njoolay Viongozi hao waliongea kuhusu kudumisha ushirikiano katika sekta ya Filamu na Vijana .Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana James Kajugusi na wa kwanza kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Joyce Fisso Picha na Benjamin Sawe, WHVUM

No comments:

Post a Comment