Mbunge
 wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akisaini Kitabu cha wageni 
mara baada ya kuwasili Kwenye Ofisi ya Mtendaji  kata ya Mlimani Katika 
Mfululizo wa Ziara zake katika Kata mbalimbali Jimbo la Morogoro mjini.
Mbunge
 wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Vifuko vya mndihira 
na Mwere Vilivyo Kata ya mlimani Ambavyo Vimegarimu Kiasi cha Shilingi 
Milion 3 Zilizotolewa na Mbunge Huyo.
Mbunge
 wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akianda Safu ya Milima Uluguru
 Kuelekea Mitaa ya Kisosa ,Choma na Chalagule vilivyopo Kata ya Mlimani 
Mbunge
 wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akisikiliza kwa Makini Kero 
Mbalimbali zilizokuwa Zikiwasilishwa na wakazi wa Kata ya Mlimani Jimbo 
la Morogoro Mjini wakati Mbunge huyo aliopofanya ziara ya Kutembelea 
kata Hiyo.
Baadhi ya Wakazi wa Mitaa ya Ruvuma
 ,Mng’ong’o, na Tulo Iliyopo Kata ya Mlimani Wakimsikiliza kwa Makini 
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini alipofanya ziara katika Mitaa hiyo ili
 kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi wa Kata hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akisisitiza Jambo wakati Akiongea na wakazi wa Kata ya Mlimani
Mbunge
 wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akijibu Hoja Mbalimbali Mara 
baada ya  Kusikiliza Kero zinazowakabili wakati wa Kata  ya Mlimani 
 Ambapo walimwambia Wanakabiliwa na Kero Kubwa ya Umeme,Maji na 
Barabara.Kuhusu Maji Mh Abood 
alitoa Zaidi ya Shilingi Shilingi Milioni 20 Kwajili ya Kununua Vifaa 
vya Kuwezesha Kufikisha Maji katika Mitaa ya Kisosa ,Choma , Chalagule Ruvuma Mng’ong’o na Tulo Iliyopo Kata ya Mlimani. .Pia
 Alitoa vifaa vyenye Dhamani ya Shilingi Milion 2 kwajili  ya Kununua 
Vifaa vya Kukarabati Barabara  Za Mitaa hiyo Ikiwemo Sajuri,Makaravati 
na Vifaa vingine vinavyotumika kutengeneza Barabara.
Wakazi waliojitokeza kwenye ziara ya Mbunge huyo
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akipokea zawadi Kutoka kwa Wakazi wa Mitaa ya Kisosa
 ,Choma na Chalagule  Ikiwa ni Ishara ya kukubali Utendaji wa Kazi wa 
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini.Wakielezea Zaidi wakazi hao wamesema 
Tangu Uhuru hakuna Mbunge aliyewahi kuwatembelea na pili Ahadi zote 
alizowahidi wakati wa Mitaa hiyo amezitekeleza na bado wana imani kubwa 
sana na Mbunge Huyo.Namnukuu Mkazi Mmoja aliyejitambuliza kwa Jina la Bw
 Omari Alisema ” Huyu Ndiye Mbunge tunayemuhitaji Mbunge wa Vitendo na 
si Mbunge wa Maneno Mengi Utendaji Hafifu”
Mbunge
 wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa na mtendaji wa kata ya 
Mlimani mara baada ya kuwasili katika Mitaa ya Ruvuma Mng’ong’o na Tulo 
Iliyopo Kata ya Mlimani.
Wajumbe wa Serikali ya mtaa wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood 
Wakazi wa Mtaa wa Kikundi wakiwa Kwenye  Mvua Kumsikiliza Mbunge wao 
No comments:
Post a Comment