Waziri wa Nishati na Madini  Profesa Sospeter Muhongo  anafanya ziara katika mikoa ya Shinyanga, Tabora na Simiyu lengo likiwa ni kukagua miradi ya umeme  vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati  Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la  Umeme Nchini (Tanesco)
Waziri
 wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akipokelewa na baadhi ya 
watendaji kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Kanda ya Ziwa na 
Nishati na Madini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa 
Mwanza. Profesa Muhongo anafanya ziara katika mikoa ya Simiyu, Tabora na
 Shinyanga lengo likiwa ni kukagua miradi ya umeme vijijini 
inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na 
Taneesco.
Waziri
 wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akipokelewa na baadhi ya 
watendaji kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Kanda ya Ziwa na 
Nishati na Madini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa 
Mwanza. Profesa Muhongo anafanya ziara katika mikoa ya Simiyu, Tabora na
 Shinyanga lengo likiwa ni kukagua miradi ya umeme vijijini 
inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na 
Taneesco.
Waziri
 wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akisaini kitabu cha 
wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega kabla ya kuanza ziara 
katika wilaya hiyo ili kujionea utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini 
pamoja na kuzungumza na wananchi.
Mkazi
 wa kijiji cha Ihale kilichopo wilayani Busega mkoani Simiyu  ambaye 
jina lake halikupatikana mara moja akiuliza maswali mbele ya Waziri wa 
Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) na wananchi (hawapo 
pichani) mara Waziri alipofanya mazungumzo na wananchi wa kijiji hicho 
ili kusikiliza kero zao.
Waziri
 wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo kwenye 
mkutano na wananchi wa kata ya Ijitu iliyopo wilayani Busega
Waziri
 wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akitoa maelekezo 
kwa Meneja wa Tanesco- Kanda ya Ziwa Mhandisi Joyce Ngahyoma ( wa mwisho
 kushoto) ya kuitaka Tanesco kuongeza kasi ya usambazaji wa umeme 
vijijini.
 
Waziri
 wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo   
katika mkutano wake na wananchi wa kijiji cha Bushigwamala wilayani 
Busega (hawapo pichani)Sehemu ya umati wa wananchi wa kata ya Kalemala 
wilayani Busega waliojitokeza kwenye mkutano na Waziri wa Nishati na 
Madini Profesa Sospeter Muhongo wakifuatilia kwa makini hotuba yake.
 
Meneja
 wa Tanesco- Kanda ya Ziwa Mhandisi Joyce Ngahyoma, akifafanua jambo 
mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na 
wananchi wa kijiji cha Nyamikoma wilayani Busega (hawapo pichani)
Diwani
 wa Kata ya Ijitu iliyopo wilayani Busega Vumi Magoti akielezea kero za 
umeme katika kata yake mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa 
Sospeter Muhongo ( wa pili kutoka kushoto), viongozi na wananchi (hawapo
 pichani)
Waziri wa Nishati na Madini Profesa 
Sospeter Muhongo (kulia) akitoa maelekezo kwa mtaalamu kutoka kampuni ya
 Symbion iliyopewa kazi ya kujenga miundombinu ya umeme katika kijiji 
cha Nyamikoma kilichopo wilayani Busega Bw. Steve Thomson (kushoto)
No comments:
Post a Comment