 Katibu
 Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la
 Bumbuli Mh. Januari Makamba wakati alipowasili jimboni humo katika 
wilaya ya  Lushoto. akiwa katika ziara ya siku mbili ambapo amefanya 
mkutano wa hadhara  katika kata ya Mponde na kuwataarifu wananchi na  
wakulima wa Chai kuhusu maagizo ya Rais Jakaya Kikwete juu ya 
kukirejesha  kiwanda cha Chai cha Mponde kwa wananchi , Awali kiwanda 
hicho  kilikuwa kinamilikiwa na Mwekezaji Yusuf Mulla na  kilifungwa 
kutokana na mgogoro wa wakulima wa Chai na mwekezaji huyo .  Rais Jakaya
 Kikwete amechukua uamuzi huo baada ya katibu Mkuu wa CCM Ndugu 
Andulrahman Kinana kusikiliza kero hiyo ya wananchi  wakati alipofanya 
ziara ya mkoa wa Tanga na kuahidi kufuatilia ili kuhakikisha suluhisho 
la kudumu linapatikana na wakulima hao wanapata haki yao. Mgogoro huo 
umedumu kwa muda wa miaka kumi na kiwanda hicho kimefungwa kwa muda wa 
miezi ishirini kabla ya Rais Jakaya Kikwete kufikia uamuzi wa 
kukirejesha kwa wananchi.

kukirejesha kwa wananchi.  Msafara
 wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukiwasili katika eneo la
 mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Mponde katika jimbo la
 Bumbuli wilayani Lushoto.
Msafara
 wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukiwasili katika eneo la
 mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Mponde katika jimbo la
 Bumbuli wilayani Lushoto.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akielekea kwenye eneo la Mkutano mara baada ya kushuka kwenye gari.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akielekea kwenye eneo la Mkutano mara baada ya kushuka kwenye gari.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 akisalimiana na Mwenyekiti wa Wakulima wa Chai Bw. Almasi Kassimu 
ambaye alikuwa kiungo kikubwa katika kupatikana kwa suluhisho hilo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 akisalimiana na Mwenyekiti wa Wakulima wa Chai Bw. Almasi Kassimu 
ambaye alikuwa kiungo kikubwa katika kupatikana kwa suluhisho hilo.  Baadhi ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye eneo la mkutano wa hadhara.
Baadhi ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye eneo la mkutano wa hadhara.  
  Mkuu wa Wilaya ya  Lushoto, Mhe. Majid Hemed Mwanga akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kijiji cha Mponde mkoani Tanga.
Mkuu wa Wilaya ya  Lushoto, Mhe. Majid Hemed Mwanga akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kijiji cha Mponde mkoani Tanga.  Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mh. Mrisho Gambo akisalimia wananchi katika mkutano huo.
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mh. Mrisho Gambo akisalimia wananchi katika mkutano huo.  Mmoja wa wananchi kijiji cha Mpond akipiga makofi huku akiwa amevaa sanamu
 Mmoja wa wananchi kijiji cha Mpond akipiga makofi huku akiwa amevaa sanamu  Mkuu wa mkoa wa Tanga Mh. Magalula Said Magalula akisalimiana na wananchi na kujitambulisha kwao kama mkuu wa mkoa huo.
Mkuu wa mkoa wa Tanga Mh. Magalula Said Magalula akisalimiana na wananchi na kujitambulisha kwao kama mkuu wa mkoa huo.  Mbunge wa jimbo la Lushoto Henry Shekifu akiwahutubia wanamponde.
Mbunge wa jimbo la Lushoto Henry Shekifu akiwahutubia wanamponde.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 akizungumza na wananchi wa na wakulima wa Chai Mponde wakati alipofika 
kijijini hapo ili kuwataarifu juu ya rais Jakaya Kikwete kuamuru Kiwanda
 cha Chai cha Mponde kurejeshwa kwa wananchi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 akizungumza na wananchi wa na wakulima wa Chai Mponde wakati alipofika 
kijijini hapo ili kuwataarifu juu ya rais Jakaya Kikwete kuamuru Kiwanda
 cha Chai cha Mponde kurejeshwa kwa wananchi.  
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Chai Tanzania Injinia Mathias 
Asenga aliyekuwa akiwaeleza wanachi juu ya kumalizika kwa mgogoro huo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Chai Tanzania Injinia Mathias 
Asenga aliyekuwa akiwaeleza wanachi juu ya kumalizika kwa mgogoro huo.  Mbunge
 wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba  akimshukuru Rais Jakaya 
Kikwete kwa uamuzi wake wa kukirejesha kiwanda hicho kwa wananchi  na 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwa kushughulikia mgogoro 
huo mpamka kufikia mwisho.
Mbunge
 wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba  akimshukuru Rais Jakaya 
Kikwete kwa uamuzi wake wa kukirejesha kiwanda hicho kwa wananchi  na 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwa kushughulikia mgogoro 
huo mpamka kufikia mwisho.  Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba  akiendelea kuzungumza na wananchi katika mkutano huo.
Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba  akiendelea kuzungumza na wananchi katika mkutano huo.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea na wananchi katika mkutano huo wa hadhara.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea na wananchi katika mkutano huo wa hadhara. 
 
No comments:
Post a Comment