Picha
 zikionyesha matukio mbalimbali ya tukio la ajali ya gari iliyohusisha 
gari la  Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi Mr II 
iliyotokea leo mchana  kwenye mlima wa Kitonga akiwa safarini kutoka 
Mbeya. hata hivyo katika ajali hiyo watu wote wamenusulika kama 
wanavyoonekana kwenye picha wa pili kutoka kulia ni Mh. Joseph Mbilinyi 
Mbunge wa Mbeya mjini. 
 
 
No comments:
Post a Comment