MAKAMU
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mhe. Mboni Mhita akiongoza 
matembezi ya siku tatu ya Vijana mia tano kutoka mikoa mbali mbali ya 
Zanzibar na Tanzania bara kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
 ambapo vijana hao walitembea mikoa yote mitatu Unguja.(Picha na Haroub 
Hussein).
VIJANA
 500 wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika matembezi ya siku tatu 
kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika eneo la 
Rahaleo.(Picha na Haroub Hussein).


No comments:
Post a Comment