RAIS JAKAYA KIKWETE AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI IKULU DAR 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, 
akimwapisha George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa
 hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana. Picha 
na OMR 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini 
nyaraka wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche, kuwa 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo iliyofanyika Ikulu 
jijini Dar es Salaam, leo mchana. Picha na OMR 
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimkabidhi 
nyaraka za Serikali, George Mcheche, baada ya kumwapisha kuwa 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu 
jijini Dar es Salaam, leo mchana. Picha na OMR 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
 Bilal, (wa kwanza kutoka kulia) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Spika wa 
Bunge la Jamhuri, Anne Makindajaji Mkuu, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed 
Chande Othuman, Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. 
Asha-Rose Migiro na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Mcheche, 
aliyeteuliwa, wakiwa katia ukumbi wakisubiri zoezi hilo la kuapishwa. 
Picha na OMR 
 Picha ya pamoja ya kumbukumbu na viongozi wa ngazi za juu 
 Picha ya pamoja ya kumbukumbu na wakuu wa Ulinzi na usalama. 
 Picha ya pamoja ya kumbukumbu na wanafamilia wa Bw. George. 
 Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi wenzake. 
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi Tume ya Sheria. 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment